Lowasa hawezi kuwa rais wa Tanzania chini ya katiba ya 1977. Akikataa matokeo ya uchaguzi ataleta mauaji kwa hiyo msilazimishe watu kuamini kuwa atashinda saa 4 asubuhi kama anavyodai yeye kwenye mikutano yake. Sana sana Ukawa wanamtumia tu awapatie wabunge na madiwani wengi kwani nao wanaamini hafai kuwa rais kwani si mwadilifu.