natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
Mbona mahasidi mnaijadili ndoa ya watu wakti wao wametulia.?
Tunajadili mambo yanayotokea au nini tatizo hapo?
Chadema kwani umeona kuna mpasuko wowote? uliyoyaandika inareflect propaganda na yaonyesha ccm mna hali ngumu.
Mwaka huu itabidi utage tu!Chadema mafisadi pia ndiyo hiyo chadema mbowe na lowasa.
Mkuu ulitegemea cdm ipate wanachama wapya kutoka Zimbabwe?Ndio muonekano wa chadema ulivyo sasa. Hawa asili akiwemo Slaa wamebaki kupigwa butwaa hawaamini yanayotokea na yanayoendelea chamani.
Chadema Mbowe wao wanaamini uamuzi wa kubadilishia gia angani ulikuwa sahihi kabisa. Lakini wanajambo bado linawasumbua nafsini mwao hawana uhakika, je EL ndie aliomba kujiunga na chadema au mwenyekiti ndie alimshawishi kuingia cdm, kwa makubaliano gani?
Chadema EL wao wamekuwa wenyeji kuliko hata walio wakaribisha chamani, kiu yao ya kuupata urais ndio imepamba moto, wanaendeleza mikakati yao. Tumewaona mitaani wakiusaka urais kwa udi na uvumba hawana habari tena na waliowakuta chamani wana mipango na mikakati yao tofauti.
Nauliza, kwa utaratibu huu wa kila mwamba ngoma kuvutia kwake kuna la maana litakalo patikana oktoba 25?
Tusubiri tuone, maana walianza na Mungu wakaona anawachelewesha wameamua kuwahi kwa kumaliza na EL na fedha zake.
Mpasuko, ccm mna hali ngumu,wewe wasema. Mimi nimeandika mambo yanavyo onekana hapo chadema. Au unadhani aliyekaa pembeni ni Slaa tu? Utakuwa unakosea, wako wanachama wenu na walliokuwa wanawaamini bure bila ya kuwa wanachama wenu.
Unadhani pumbafu na lofa ni nani aliyekuwa analengwa? Ni yule aliyeyarudia na kulamba matapishi yake. Ila wajanja wanawasingizia watanzania wa hali ya chini.
ujinga nawelewa nivi2 viwili tofauti,unatakiwa ushirikishe naubongo kujadiri,hapa umeandika pumba 2pu,ha2danganyiki pole sana,
Jamani hizi nyuzi zinz Lengo la kuleta mgawanyiko CHADEMA kuweni makini na watu hawa
Ndio muonekano wa chadema ulivyo sasa. Hawa asili akiwemo Slaa wamebaki kupigwa butwaa hawaamini yanayotokea na yanayoendelea chamani.
CHADEMA Mbowe wao wanaamini uamuzi wa kubadilishia gia angani ulikuwa sahihi kabisa. Lakini wana jambo bado linawasumbua nafsini mwao hawana uhakika, je Lowassa ndie aliomba kujiunga na CHADEMA au mwenyekiti ndie alimshawishi kuingia CHADEMA, kwa makubaliano gani?
CHADEMA Lowassa wao wamekuwa wenyeji kuliko hata walio wakaribisha chamani, kiu yao ya kuupata urais ndio imepamba moto, wanaendeleza mikakati yao. Tumewaona mitaani wakiusaka urais kwa udi na uvumba hawana habari tena na waliowakuta chamani wana mipango na mikakati yao tofauti.
Nauliza, kwa utaratibu huu wa kila mwamba ngoma kuvutia kwake kuna la maana litakalo patikana Oktoba 25?
Tusubiri tuone, maana walianza na Mungu wakaona anawachelewesha wameamua kuwahi kwa kumaliza na Lowassa na fedha zake.
Mleta mada wewe ni lofa na ni mpumbavu!
Wenyeji wamejificha, wanaogopa kumnadi FISADI
Mkuu ulitegemea cdm ipate wanachama wapya kutoka Zimbabwe?