CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Sisi BaaVichaaaa sera yetu ni kutafuta Kiki Mpya na kujisahaulisha Ahadi zetu za nyuma tunazotakiwa kuzitekeleza. Mambo ni mbele kwa mbele yaani Sisi ni Wazee wa Ahadi Hewa.Chadomo ni debe tupu kulialia ndio maisha yao
[emoji1][emoji1] kwamba huwezi kukwepa ngumi kwa kufumba macho, kwa hiyo waje watupe mrejesho wa ahadi hapo juuKichwa cha Nyoka hakibebi mzigo by Mustafa Muro, Kichwa cha Mwamba hakina uwezo wa kuendesha CDM
Kuna hizi ahadi CHADEMA mliahidi:
1. Mliahidi mtateua watendaji wenu serikali za mitaa ili watoe huduma kwa wananchi kwa kuwa hamuwatambui waliochaguliwa uchaguzi mdogo. Mmefikia wapi? Wanatoa huduma gani? Tupeni majina ya viongozi wenu tuwape kero zetu.
2. Mlidai kupitia zoezi la chadema ni msingi mumepata wanachama milioni 10. Mnayo orodha? Mshampa msajili?
3. Mliahidi mtachapisha orodha ya waliochangia viongozi watoke jela na ina mpaka mama lishe. Kaka Makene orodha tayari? Nataka nione jina la mama lishe wa pale Rombo Usseri. Kama bado tunakukumbusha inasubiriwa. Au michango ilizidi mlichotangaza maana nyie mhh!
4. Nikumbushe tena ahadi yenu ya kuunda CHADEMA CORONA TASK FORCE ya kukusanya majina ya wafu. Mmefikia wapi? Kina nani wanahesabu maiti? Mpaka sasa Corona imeua wangapi? Ningependa kujua idadi ya wamachame waliokufa kwa corona tafadhali.
5. Zile ahadi za kuwasusia RC wa Dar na DC wa Hai mmetekeleza kwa kiwango gani? Nini mmeshawasusia?
6. Ahadi za kusaidia familia za wafiwa mfano Mawazo na Mwangosyi mnatekeleza au wajihudumie wenyewe?
Hivi mnapotoa ahadi sampuli hii mnakuwa mmeshauriana au mtu mmoja anaagiza mtangaze hizi ahadi?
Mustafa Muro alisema "ukosefu wa adabu ndani ya chadema"
Huwezi kujibu hoja bila kutumia lugha karahishi?
MATAGA mnaumia sana kila mkiona CHADEMA bado ina wanachama pamoja na figisu zenu za kishamba za miaka ya 1880sKuna hizi ahadi CHADEMA mliahidi:
1. Mliahidi mtateua watendaji wenu serikali za mitaa ili watoe huduma kwa wananchi kwa kuwa hamuwatambui waliochaguliwa uchaguzi mdogo. Mmefikia wapi? Wanatoa huduma gani? Tupeni majina ya viongozi wenu tuwape kero zetu.
2. Mlidai kupitia zoezi la chadema ni msingi mumepata wanachama milioni 10. Mnayo orodha? Mshampa msajili?
3. Mliahidi mtachapisha orodha ya waliochangia viongozi watoke jela na ina mpaka mama lishe. Kaka Makene orodha tayari? Nataka nione jina la mama lishe wa pale Rombo Usseri. Kama bado tunakukumbusha inasubiriwa. Au michango ilizidi mlichotangaza maana nyie mhh!
4. Nikumbushe tena ahadi yenu ya kuunda CHADEMA CORONA TASK FORCE ya kukusanya majina ya wafu. Mmefikia wapi? Kina nani wanahesabu maiti? Mpaka sasa Corona imeua wangapi? Ningependa kujua idadi ya wamachame waliokufa kwa corona tafadhali.
5. Zile ahadi za kuwasusia RC wa Dar na DC wa Hai mmetekeleza kwa kiwango gani? Nini mmeshawasusia?
6. Ahadi za kusaidia familia za wafiwa mfano Mawazo na Mwangosyi mnatekeleza au wajihudumie wenyewe?
Hivi mnapotoa ahadi sampuli hii mnakuwa mmeshauriana au mtu mmoja anaagiza mtangaze hizi ahadi?
Watatekeleza vipi haya wakati chama kinalipa madeni hewa. Tena madeni ya kutengenezwa na mwenyekiti wao.Kuna hizi ahadi CHADEMA mliahidi: