Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Naangalia clouds tv habari, kuna jamaa kafanana na Mbowe sijui ni katibu wa vijana wa chadema na jamaa mmoja anaitwa Malya, eti wanasema bodaboda kuziiliwa kuingia city center wameonewa! yaani pamoja.na sababu za msingi zilizotolewa na serikali bado watu wenye siasa za matukio wanaona ni mtaji wao wa kisiasa