Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
ccm imeingiliaje utendaji wa ActMbona ccm inaingilia na kupora ACT
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ukawa sio chama sheria haiitambui ukawaChadema hawazuiliwi kusaidia Cuf kwa kuwa Wana uhuru,Hilo ni kundi la Ukawa
Ila wawe makini sana kwa kuwa tatizo la cuf linaweza kuingia chadema
lipumba kapewa ulinzi na polisi mtu yoyote anahaki ya kulindwa na polisi pale usalama wake unapohatarishwaPia ni mbaya kwa chama cha makanika kumpa ulinzi lipumbav avuruge cuf.