Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Kuna siku utatumwa kukata hicho kichwa chako.............NA KWA JINSI UNAVYOJIELEZA.............UTAKATA KWELI NA HUO NDO UTAKUWA MWISHO WAKOKama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.
CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.
Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?
CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu
Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza
Bora wamfunge tu huyo mpuuzi slaa, kakosa kiti cha urais sasa anataka kuleta fujo, hii ndio tatizo la makabila yanayo penda fujo.
Si lazima ulazimishe kiingerezaKwa mujibu wa Katiba kila raia ana haki ya FREDOMA OF MOVEMENT, EXPRESSION AND ASSOCIATION. Hivyo wananchi wana haki ya kuchagua kwenda shamba au kuhudhuria maandamano.
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.
CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.
Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?
CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu
Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.
CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.
Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?
CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu
Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza
Mimi ni blogger sasa kuna simu nimepokea hivi punde kutoka kwa jamaa aliyejitambulisha kuwa anaitwa Richard amesema yeye ni mtu wa karibu na uongozi wa CHADEMA amenipa taarifa ya kusisimua sana kuwa mwanaharakati Tundu Lissu anajiandaa kuishtaki serikali Umoja wa mataifa kwa kile inachodaiwa kukamatwa kwake huko Tarime lakini sambamba na hilo anataka kuwasilisha malalamiko kwenye AMREF INTERNATIONAL kuhusu kile kinachoendelea kwenye migodi nchini Tanzania.........Tungoje tuone
Hapo kwenye red sijakuelewa?
mimi ni blogger sasa kuna simu nimepokea hivi punde kutoka kwa jamaa aliyejitambulisha kuwa anaitwa richard amesema yeye ni mtu wa karibu na uongozi wa chadema amenipa taarifa ya kusisimua sana kuwa mwanaharakati tundu lissu anajiandaa kuishtaki serikali umoja wa mataifa kwa kile inachodaiwa kukamatwa kwake huko tarime lakini sambamba na hilo anataka kuwasilisha malalamiko kwenye amref international kuhusu kile kinachoendelea kwenye migodi nchini tanzania.........tungoje tuone
Nadhani ni AMNEST International.
Umoja wa mataifa yuko Dr Asha Rose Migiro kwa hiyo ataweka chini ya carpet. Waanze kuwaandikia mabalozi wa nchi za nje walioko Tanzania na kuwaeleza in details ni kwa jinsi gani haki za binadamu zinakiukwa.