Chadema 5-0 CCM kipindi cha kwanza

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,706
Katika makosa ambayo ccm imewahi kufanya basi kosa la kimkamata tundu lissu wakati huu ni kosa baya sana.

1. Chadema imekuwa popula mara dufu kwa wananchi.

2. Chadema imekuwa popula kimatafa

3. tanzania imekuwa exposed kama nchi isiyo fuata demokrasia .

4.Kosa hili limefuta mazuri ya Rais mwanamke wa kwanza Tanzania .

5. Wananchi wametambua zaidi haki yao ya kupiga kura inayo fanya maamuzi.


Ni bora wangemkamata heche ila syo lissu.
 

Hadi Mrema kaamua kuachia Ugoko baada ya Mapolisi kuingilia kumkaba Lissu wa CHADEMA F.C.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…