Nguvu ya uma lakini uchaguzi mnashindwa... smhCDM ni chqma Dume, ni chama cha watu kinategemea nguvu ya umma na umma wa watanzania walio wengi wameshaamka...
Ma ccm yamebaki kutupatia promo inderect
Lakini lengo la chama chochote cha siasa si ni kuchukua dola?kusindwa with reference to what mama, ukitaka kujua kuwa wanshindwa muulize kinana na nape
cdm ni chqma dume, ni chama cha watu kinategemea nguvu ya umma na umma wa watanzania walio wengi wameshaamka...
Ma ccm yamebaki kutupatia promo inderect
Lakini hadi sasa bado wanachagua CCM, Yes or NO?mwingulu akizunguka kwenye majukwaani ..........................wanatumia muda mwingi kuitaja chademazaidi ya sera zao
nape .......................is all about chadema
na wale wa bungeni.................is all about chadema
wananchi mwaka huu lazima wajaribu hiyo chadema inayotajwa nakila mtu
Lakini hadi sasa bado wanachagua CCM, Yes or NO?
Kampeni za kuipeleka chadema madarakani 2015 ni mteremko kwa mabo yafuatayo
- Ni chama kinachoongozwa kutajwa na CCM majukwaani zaidi ya sera zao, na hivyo kuikifanya chama kifikie hata kwenye vijiji vya mbali
- Ni chama ambao kila kukicha matanko feki yanatoka kwa lengo la kukidhohofishs lakini hayafanikiwi .............this means what there is no need of press comference maana kuna watu wanatangaza chama indirect
- Ni chama kilichopitia msukosuko mwingi sana na BADO KIPO IMARA
- Ni chama ambacho kimewaaminisha watanzania kuwa kinweza kuwaajibishs viongozi kitu ambacho CCM wameshindwa
IN CHADEMA TANZANIAN, WE TRUST

Kweli? Mbona chaguzi ndogo zote mnashindwa?
Lakini hadi sasa bado wanachagua CCM, Yes or NO?
Unapotaka kusifu chama cha siasa tumia akili, CHADEMA ni SACCOS, ni kikundi cha wahuni fulani waliojikusanya kupiga hela. hakuna chama hapo. Nikikundi cha Mashetani.