Chachu ya Komredi Polepole yaichangamsha Malawi Makamu wa Rais akamatwa kwa Rushwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Inafurahisha kuona nchi tuliyompeleka kijana wetu Mzalendo Komredi Polepole kwa sasa ndio kinara wa kupambana na rushwa na ufisadi barani Africa

Makamu wa Rais wa Malawi amekamatwa kwa Rushwa na mtoto wa Rais mstaafu amekamatwa kwa tuhuma za kufanya biashara ya kuuza Binadamu

Mungu ni mwema wakati wote
 
U
Unazingua injinia
 
Polepole anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…