Chabo nomaaaaa!

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
468
Reaction score
398
habari wana jf?
Jumapili inasemaje?

Leo napenda kuwahasa na kuwaonya wale wote wanaopenda kula chabo katika vyumba vya watu
especially wakihisi kunawapenzi wanatimiza au wanavunja amri ya 6

hii ilimtokea jamaa yangu mmoja usiku wa kuamkia leo baada ya kupiga chabo katikamoja ya gesti za hapa mtaani na kumuona mamayake mdogo akiliwa uroda#
natumai ujumbe umefika
jumapili njemaaa#
 
Hizo ni athari za Ngonoism. Watu wanawaza ngono tu kila wakati.
 
jamaa naye kiboka bado akaja kuwasimlia!!!
 
Duh kwa hiyo alimdindishia mama yake mdogo baada ya kupiga chabo upaja .............!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…