Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,517
Ha ha ha achana na starehe za watu wewe.....
ugonjwaaa kakuambia anaumwa!!!!!!!!!!
Hizi starehe unaweza kukuta unachomwa moto kipuuzi tu, sijui utasema ni ajali kazini?
http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2009/07/wifi-zangu-vijana-jazz.mp3
Wengine ni watu wazima kabisa wenye wake zao nyumbani na watotoAkitoka hapo anaenda kupiga masterbation,ujana kazi kweli
Wengine ni watu wazima kabisa wenye wake zao nyumbani na watoto
hadi mashine kasimamisha
Chabo ni ugonjwa unao watesa watu wengi sana.
Oneni huyu kijana ambavyo amezuzuka kwa ayaonayo.
Haogopi tena hatari iliyopo nyuma yake, watu wanaweza kumpigia keleleza mwizi.
Sasa naanza kuamini kuwa chabo ni ugonjwa wa mapenzi
hahahhaha Bujibuji una kesi ya kujibu umemsababishia defamation kaka yake Bishanga.nimekumbuka nikiwa chuo tulikua na mwenzetu mmoja tulimbatiza jina mzee wa chabo
alikuwa anapiga chapo hata akiwa class msichana akikaa uchi hatoi jicho mbele yake
kama yuko JF anajijua,wale wa LLB 2000-2004 UDSM wanamfahamu vema mzee wa chabo kutoka kule kwa kina rutashobya