.....Cha Asubuhi....

Vyakusimuliwa vizuri we nidokeze tu...

ulivyosema cha asubuhi mmhh
nikawaza loohh leo kuna mtu kaamua kufunguka
atueleeze experience yake ya quiiiiicky .. au alivyoamka
mapema moja kwa moja uwanjani na kuanza kufunga magoli..
 
ulivyosema cha asubuhi mmhh
nikawaza loohh leo kuna mtu kaamua kufunguka
atueleeze experience yake ya quiiiiicky .. au alivyoamka
mapema moja kwa moja uwanjani na kuanza kufunga magoli..

ishia hapo hapo ..umefunguka vema
 
ulivyosema cha asubuhi mmhh
nikawaza loohh leo kuna mtu kaamua kufunguka
atueleeze experience yake ya quiiiiicky .. au alivyoamka
mapema moja kwa moja uwanjani na kuanza kufunga magoli..​

Umeona eeeh..."Afro d" anataka kumwaga ..........
 
duhhh Saint Ivuga kaniwekea plasta mdomoni
pingu miguuni na mikono.. samahani najitoa hahahah lol​

kwanini ujitoe bana..... Afro d"
 
Cha asubuhi ndo noma tena saa kumi na moja,kumi na mbili hivi.kheri uninyime usiku cha asubuhi haki yangu
 
Ungeandika Leo Magazetini au Yaliyoandikwa Magazetini.Naona ulitaka kuchota hisia zetu.Jambo zuri hilo ila uwe katikati.Usituletee habari za upande mmoja au za kule tu unakoegemea.Big Up sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…