yan kweli hatari mpaka mtu mwenye cpa naye hapati kazi kweli ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa linalohitaji ufumbuzi wa haraka
cpa=certified public accountant
acha kukimbia kimbia,ni Certified Public Accountant, siyo Auditor.
ndiyo maana me sitaki kusoma cpa wala masters nataka hizo nizisome nikiwa ofisini,maana ukizidi kusoma hapa bongo ndiyo uwezekano wa kupata kazi unazidi kupungua ntapambana na haka ka degree mpaka kieleweke.
Employers wish to know who you are and what makes you unique/distinct you from others and not what qualification do you posses! .........usishangae ukiitwa interview kwa wakati huu unaweza ukakutana na maswali haya: 1.Unaionaje Bajeti ya Tanzania Mwaka 2013/2014? 2.Una maoni gani kuhusu gesi ya mtwara 3.Unaichukuliaje Ziara ya Obama Tanzania hapa ndiyo wanaangalia uwezo wako wa kupambanua mambo, sasa wewe ng'ang'ania CPA, Masters...sijui kitu gani?