Huyu Botha ananipa mashaka.......ana MBA na BBA!! sijaelewa anahusiana vp na mambo ya fiber com!...au UZOEFU? tueleweshane hapo kidogo, labda ni mm tu ndy sijui!! teh teh! na hako ka ada muzeeia, mbona ss akina binafsi inatuwia ngumu kidogo. mweh! wakiingia watu mia tu ni hesabu nzuri sana tu. nitajiandikisha na mm, nikipata cheti naanzisha kozi huku namtumbo, teh teh!