kama tangazo husika limekutaka u-certify fanya hivyo kama tangazo halijasema "NO NEED".......ila jua tu kuwa hicho si gigezo cha kukufanya uwe short listed!!!...
Nashukuru sana JF members mlichangia mada hii kwa moyo wa dhati ili kutoa mwongozo mzuri kwa maana ukimsaidia mwenzio ni busara, pia akuonae sirini atakufungulia.