Census exercise extended seven days more

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
The Tanzania government has offered a seven day grace period for Tanzanians who have not yet registered for the national census that was scheduled to wind up.

 
Hii habari mbona tumeshaisikia sana tu kwenye maredio na Tv. Halafu kiingereza chenyewe kibovu kama uongozi wa magamba.
 
Hii habari mbona tumeshaisikia sana tu kwenye maredio na Tv. Halafu kiingereza chenyewe kibovu kama uongozi wa magamba.

Vipi kinakaribia kile cha yule m/kiti wa mtaa wa Oysterbay?

Nilikipenda kile nathani ndio ingekuwa standard form ya kuhamasisha maana sio tu kinafikisha ujumbe bali kinaburudisha kweli. Kingefaa kuchangamsha sensa ya mwaka huu maana imepwaya!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…