sawa sawa chifu, msaada tena hivi banda lile la kuchomelea likiwekewa chini zile pleti za bati, vigae vinaweza vikashika katika banda hilo la biashara?

ahaaa shukrani sana chifu wangu, na sakafu ya terrazo inaweza ikakaa vizuri kwenye banda la biashara? ambalo kwa chini limechomelewa zile pleti za bati au vigae vinaweza kaa vizuri ?
zege banda linakuwa ni zito kishenzi, labda nafanya hivi naweka ule waya wa mashimo ya choo nauchomelea kwa chini ili kuweza kushika cement itakayowekwa kwa ajili ya vigae au terrazzo floor
sawa sawa chifu, msaada tena hivi banda lile la kuchomelea likiwekewa chini zile pleti za bati, vigae vinaweza vikashika katika banda hilo la biashara?
Tahadhari mkuu,kama unaenda kulisimika hilo banda sehemu siyo yake,acha,kuna viashiria safisha safisha ya miji itaanza muda si mrefu. Arusha na Dar wameshatangaza kuondoa hayo mabanda