cecafa kagame cup final

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
fainal ya kombe la kagame inafanyika usiku muda wa saa mbili na nusu kati ya vital'o ya burundi na apr ya rwanda . wasudani wameanda alaiki ya kufungia mashindano inapendeza kweli siwai kuona tamasha la kufunga mashindano toka cecafa waandae mashindano kma una sudan tv inapatikana nilesat 201 freq 11727 symb 27500 katika kutafuta mshindi wa 3 almereikh ya sudan 1 rayon sport rwanda 0
 
Amani imerejea huko Maduguli?
 
Angalia mwenyewe sisi tuko kwa Obama
 

Tupia link tuweze kutazama game
 
Mimi sitaangalia mashindano haya mpaka udhamini wa Kagame utakapositishwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…