Inawezekana unatengeneza image badala ya kuandika kwny cd, kwani uwa una burn bila matatizo hapo awali ama? Kama ni ndiyo, jaribu kutumia alternative kama ashampoo afu uniambie,
unaburn audio, video au data cd. cd au dvd?
kama external imekataa, tena umeformat pc nnamashaka labda unakosea kuburn au empty zako zina matatizo
nimejaribu zaidi ya cd 4.
sawa kaka mkuu nmekusoma the MODERATOR hongera
kausha mkuu