ccm

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Sioni sababu ya serikali yenu kung'ang'ania gesi ya mtwara ije dar kwasababu,
1.hyo mitambo ikiwekwa Mtwara ktapungua nini?
2.hvi nyie magamba mnajiona mnaakili sn kuliko wananchi syo?
3.toka mmeanza chmba madini wananchi tumefaidika na nn? Zaid mme2mia raslimali ze2 kujiimarisha madarakan na matumbo yenu,na watoto wenu.
NAOMBA MAJIBU nyie magamba.
 
Wenye pesa wanakaa dar, hivyo ni busara fungu la gesi pia likasogezwa dar. Mkulima wa korosho zake jero jero haya mabilioni ya gesi atayaweka wapi?
 
kwani watu wa mtwara wanajua matumizi ya gas wacha magamba wakatumie hayo mabilioni yao wanayo yasifia halafu hatuyaoni faida yake ila.........ipo siku itakuwa mwisho wao wa haya yote wanayo tutendea.
 
Maccm bw!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wenye pesa wanakaa dar, hivyo ni busara fungu la gesi pia likasogezwa dar. Mkulima wa korosho zake jero jero haya mabilioni ya gesi atayaweka wapi?

yelewiii aisee.
 
Kwan dar pekeyake ndio kunakofaa kuwekwa kila kitu? Na wananchi wa mtwara sio watu au hakuna watu wanaoish mpaka muitoe huko mpeleke dar? Hebu nyie magamba achen zenu bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…