CCM yawaomba radhi Watanzania tatizo la ununuzi wa LUKU

Haya ndio madaraka ya kulevya sasa

Washajisahau kabisa na hawajui mipaka yao iko wapi..

Shame!
 
Wawaombe watanzania radhi kwa kuvuruga uchaguzi Mkuu na wizi wao sugu wa kura, vingivevyo CCM si ya kusamehewa.
 
Waziri mkuu anaagiza uchunguzi wa kina ufanyike ili kujua chanzo cha tatito. Katibu mkuu analaani nia ovu.
 
Kuomba radhi ni swala moja lakini la msingi ni kulipa fidia kwa wale ambao wamepata hasara za biashara na vitu vya majumbani.

Tunataka fidia ya hasara zilizosabibishwa na kukosekana kwa huduma ya Luku.
 
Tunarudi kulekule. Mapambio tu.

Amandla...
 
A terrible party supremacy hangover!!!
 
Ingekuwa ni CHADEMA duuh lumumba wangechanika midomo kwa kuongea
 
Kuna mahusiano gani kati ya taaluma ya watendaji wa Tanesco na CCM?
Bodi ya Tanesco inasemaje?
Mifumo ya IT na CCM wapi na wapi.
CCM ndio waliwafanyia usaili wafanyakazi wa Tanesco?
Safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…