CCM yavuruga MIPANGO yake

Mzee tupatupa inawezekana ulituletea habari ya uongo jana leo umekuja kuibadilisha ionekane CCM ndio wamebadili mipango yao.

Bado tunafuatilia kwa kuwa kwenye hiyo kamati ya siri upo.
 

Hii tayari imeshavuja. watavunja wataunda ndogo zaidi,ukisema umo watateua wawili ukisema umo watatuma mmoja mmoja mwisho watakulimboka.Kazi njema kila la kheri uendelee kutujuza.
 
Nape akiiona hii anatamani kupasuka, wakikugundua pollonium inakuhusu mkuu
 
Isije ikawa mzee Tupa Tupa ndio Wilson Mkama mwenyewe, JF Kiboko

teh teh teh teh teh teh, isijekuwa kweli, maana jamaa anasema katolewa mtu waliyekuwa wanamhisi lakini kwenye kamati yeye yumo
 
VID-20110829-00000
Mzee Tupatupa usije sababisha ngumi ndani ya kikao chenu
 
Nafikiri nyie vichwa vya panzi visivyoweza kufikiri msiwe vilaza kiasi hicho. Ukifikia mahala unaamini aliyoleta huyu jamaa jua kuwa na wewe hamnazo. Kilichonituma ni kwamba ameniambia si muda mrefu niingie humu nione vilaza wanavyoangaika kwa taarifa dhaifu na ambazo hazipo. Jana vile vile vile vilaza nyie nyie mlishinda humu kwa taarifa kama hii. Hivi hamuwezi kufikiri hata kidogo. Kweli vichwa vya senene ni vya senene tu. A cha ujinga toka humu kafanye kazi.TOKA MALOFA NYIE
 
Lofa mwenyewe.Nani amekutuma? Ili iweje? Wewe utakuwa huna adabu hata kwa wakubwa zako. Jifunze kuwa na adabu
 
Wewe ni nomaaaaaaaaaaa!endelea kubanana nao vilivyo kamanda
 
piga ua ni nape uyu.ccm hali mbaya na tena lowasa anavyokuja juu nape lazima akimalize ccm kamua nape
 
Mkuu Mzee TupaTupa,

1. Tunashukuru kwa updates...lakini natamani sana Mh. January Makamba angesoma uzi huu(kama bado hajausoma) ili atambue hiyo 2015 ni ngumu kushinda kama anavyodhani kwani hii haiko Sumbawanga tu(hii iko kila sehemu Kuanzia Ikulu, Mahakama, Jeshi la Polisi, hadi katika mitaa).


2. Nakukumbusha uwe makini mkuu, it's not bad to lay LOW but ACTIVE profile for a while, that's how GT play that game.

Kazi njema.
 
It is too good to be true.i ddnt but it yesterday,am not buying it 2day.
 
Mzee Tupatupa na Wana JF,
Tunashukuru kwa kutuabarisha ila kazi yako ni ngumu na nzito.
Nawakilisha.


 
Nina shaka kuu na Mzee TUPATUPA.Anataka kuteka akili za watu humu na hana lolote.Nitafuatilia nitakaporidhika si intelligensia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…