CCM yataka vyama vyenye uzalendo

Kwani yeye ni msajili wa vyama ?
 
Hivi vyama vya upinzani na haswa Cuf na Chadema malengo yao si kuunganisha Watanzania viko kinyume nimejaribu kusoma katiba na ilani ya chama cha UDP kimekaa vizuri na kinaweza kuwa chama kikuu siku za usoni.
Jenga hoja kijana penda taifa lako.
Mmmmh.....jimbombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishatoka uprofesa ukaingia kijani basi hakuna lako tena. Nadhani Tanzania hakuna hata kiumbe moja mzalendo zaidi ya Nyerere, Sokoine na Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…