CCM yasitisha kikao chake cha NEC

hii ngoma inazama bwana! kwa hilo hakuna ubishi
 
Hii CCM ya JK imeishiwa yaani ajenda ya gamba wameianzisha wao kuitekeleza wanasikilizia huku wanogopa kweli kweli, and yet kuna watu kila kukicha humu wako bize kutaka kutuaminisha those guyz are serious??????
 
namkumbuka Kolimba aliye chama kimepoteza dira{uelekeo}
Laiti kama wangemsikiliza na kuyafanyia kazi maoni yake. nasikitika kuwa CCM inayumba na kuyumba wkake kunaiathiri nchi nzima. Ni ajabu kwua bado tunaebdelea kuwaamini wanasiasa kuwa ndio viongozi wetu
 
Tutaendelea kusubiri mpaka mkutano ufanyike, tuone wataamua nini ?
 

Siku hizi gazeti la Mh. Mbowe ndio wasemaji wa ccm?
 
Cha motoooo.....wanaogopa kuungua! Safi sana ogopaneni hivyo hivyo ila wake zetu waacheni jamani!
 
At least katika hili suala wametumia akili, hekima na busara ambavyo sijui kama ni vyao au wameazima kwa majirani!!
 

mipango myema
 
Nasubiri anguko rasmi la wapora wake za watu.
(rejea ya nkapa na nramba, nkema na abidala, etc)
 
Katika moja ya hotuba zake mahili marehemu Baba wa Taifa, alisema, ukizoea kula nyama za watu. basi dhambi hiyo itakuandama mpaka kwa vizazi vyako. Ikiwa kweli kama CCM wali Mkolimba Mzee Kolimba, basi dhambi hiyo itawakolimba wote mpaka na vizazi vyao. Naona haya ndo yanayotokea sasa hapa nchini.
 

Hiyo source ya information ni very doubtful as usual!
 
Hiyo source ya information ni very doubtful as usual!
Wengine hamjui hata vitu vya kuomba source hivi unachokataa ni kitu gani hawajaahirisha au taarifa imeletwa na Tanzania Daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…