CCM yapongeza ushindi wa Museveni kwenye uchaguzi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
1558498_1019281664784598_6137755606229033563_n.jpg

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepongeza Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha nchini Uganda kwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Februari 18.

Kutokana na ushindi huo. CCM inampongeza Rais mteule, Yoweri Museveni ambaye ndiye mwenyekiti wa NRM.

Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma wa CCM, Daniel Chongolo imeeleza kuwa wamefuatilia kwa ukaribu mchakato wa uchaguzi huo na walikuwa na imani kwamba NRM itaibuka mshindi dhidi ya waliokuwa wagombea wengine saba wa urais.
 
Hhahaahhahahahahaha

Magufuli amegoma kutoa pongezi nini?

Magufuli sio Mwana CCM

Infact ni Mwana UKAWA

NA ni Team Lowasaaa
 
ngojen trump aje kwa tanzania sio rais aliekaa mda mrefu inabid atusaidie kuiondoa ccm kwan tumefikia hatua demokrasia sio imekanyagwa bali imetupwa choon kabisa maana kama mtu anashinda uchaguz na anatangazwa mwengine kama kule kwa kafulila, wenje, ilala, mbagala, chunya, lupe etc au watu wanaamua tu kua uchaguz urudiwe kama kule zanzibar tunaitaj nguvu ya ziada kuwaondoa hawa watu sio sanduku la kura
 
Nafikiri ungewatafuta waliomwondoa 'MKOLONI' wakusaidie kuiondoa CCM!
 
kwahiyo kwenye sherehe za kuapishwa mheshimiwa mwakilishi atatoka katika chama na sio serikali.
 
Ccm bana yaani wanaishi maisha ya ujanjaujanja, kwa dhuluma iliyofanyika zanzibar hata hii vita yenu ya kutumbua majipu haina maana kabisa
 
Wananchi wengi wameamua sasa ulitaka wafanye nini, jifunze ukweli ili ukuweke huru.
 
ngojen trump aje kwa tanzania sio rais aliekaa mda mrefu inabid atusaidie kuiondoa ccm kwan tumefikia hatua demokrasia sio imekanyagwa bali imetupwa choon kabisa maana kama mtu anashinda uchaguz na anatangazwa mwengine kama kule kwa kafulila, wenje, ilala, mbagala, chunya, lupe etc au watu wanaamua tu kua uchaguz urudiwe kama kule zanzibar tunaitaj nguvu ya ziada kuwaondoa hawa watu sio sanduku la kura
Trump atainyoosha sana Africa hasa haya madikteta
 
Ccm wanampongeza Museven kwa ushindi au kwa uzalilisha? Yataka mwenye roho mbaya tu kumpongeza uchaguzi wa Uganda.Africa inahitaji kutaliwa tena. Wenyewe tumebakia kujizalilisha tuuu
 
Hata matunda aina ya 'zambarau' huwa ni vigumu kuyatofautisha ,yote yanafanana sana kwa rangi zao na maumbo yao...
 
Ni vigumu sana kuyatofautisha matunda aina ya zambarau ,yote YANA FANANA SANA..
 
Back
Top Bottom