CCM yapata pigo Tarime

Wanajidanganya sana kwa maneno ya kujifurahisha maana cdm ni taasisi kubwa tu

In God we trust
Kimsingi hao ni wa Tarime watu wa shoka na hawaogopi kuonyesha hisia zao. Lakini watu wengi wameshaiunga mkono Chadema moyoni huku wakijifanya ccm kwa ajili ya mahitaji ya tumbo au kuogopa "wasio julikana"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za miaka 7 iliyopita.

Kweli chadema mnavuta bangi wote wakubwa kwa wadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni matusi basi umebarikiwa sana sasa hapo kisa cha kuwatukqna wana cdm ni kipi hasa?
Kwani siasa kwako ni uwanja wa vita?
Unashindwa nini kujibu hoja kwa busara tu bila ya kuwatukana watanzania wenzako?

In God we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…