Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,883
- 1,854
Wana JF, nipo hapa Babati mida hii CCM wameitisha mkutano na boda boda ili kuwambia kwamba wapinge ushuru wa maegesho unaotozwa na halimashauri ya mji wanayoiongoza wao wenyewe!
Lakini aibu waliyoipata bajaji zilizohudhuria ni nne na piki piki ambazo hazifiki tano!
Nawapongeza boda kwa kukataa unafiki huu wa ccm! Kwamba kodi wapange wao kisha wawe wa kwanza kuipinga!
Nawasilisha