Wakuu kama ilivyokua 2005,mwaka huu zikiwa zimebaki siku 3 vitu vimeanza kupanda bei hapa Dar,Pentrol imeadimka,Sembe bei juu 1000 kwa kilo,Mtindi wa Tanga Freshi kutoka 700 hadi 1000,mafuta ya kula yapanda gafla,sabunu zapanda,juice za box zapanda bei pia,nafaka na kunde vyapanda kidogo pia.Nadhani baada ya uchaguzi CCM IKISHINDA TU VITAPANDA ZAIDI KAMA ILIVYOKUA 2005.kAZI KWETU TUMCHAGUE sLAA