Helkopta haikupita pale kwa bahati mbaya ulikuwa ni uchokonozi wa kisiasa.
Tanzania Daima ni gazeti la upande mmoja wa chadema habari zake zina vionjo vya mashaka
CCM tumewaita Aden Rage na Adam Malima kukomesha huu uchochezi wa kisiasa unaofanywa na CDM.
Mkamfufue na marehemu Ditto aje kusaidiana na "wenzie"Na kamanda wenu kikosi maalumu zombe msimwache
Inaonesha wazi viongozi wa CCM wana elimu ya kuungaunga na degree za kikuda.anaposema yeye si mganga bali ni mkristo alafu mwenzie anakuja kusema viongozi wa CHADEMA amewachanja chale mpaka matakoni anamaana gani?
Helkopta haikupita pale kwa bahati mbaya ulikuwa ni uchokonozi wa kisiasa.
Tanzania Daima ni gazeti la upande mmoja wa chadema habari zake zina vionjo vya mashaka
Matusi ni moja ya siasa ya vyama vyote hakuna jipya
Katika hali isiyo ya kawaida mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Sioi Sumari ulitawaliwa na maneno ya matusi na vijembe dhidi ya viongozi wa CHADEMA.
Hali hiyo ilijitokeza jana wakati mgombea wa CCM , Sioi Sumari, alipokuwa akihutubia jukwaani aliporwa kipaza sauti na Meneja wa Kampeni hizo, Mwigulu Mchemba, ambaye alianza kumshambulia Katibu Mkuu wa CHADEMA , Dk. Willibrod Slaa kwa matusi akimwita kichaa.
Hatua hiyo ilitokana na kitendo cha helikopta ya CHADEMA kupita juu kwa mbali na ulipokuwa ukifanyika mkutano wa CCM, na kusababisha wananchi wengi waliokuwa kwenye mkutano huo kushangilia kwa kutumia salamu ya CHADEMA ya "Peoples Power" huku wakionyesha vidole viwili juu.
Hata hivyo ilibainika baadaye kuwa waliokuwa ndani ya ndege hiyo ni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe , mgombea wa CHADEMA, Nassari, na kiongozi wa kampeni hizo Vicent Nyerere ambao walikuwa wakielekea kwenye mkutano wao wa mwisho eneo la Maji ya Chai.
Naye mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani aliwalalamikia makada wa CHADEMA kwa kumsakama kuwa ni mganga wa kienyeji wakati yeye ni muumini mzuri wa Kanisa la Anglikana.
Source: Tanzania daima 27/03/2012
Helkopta haikupita pale kwa bahati mbaya ulikuwa ni uchokonozi wa kisiasa.
Tanzania Daima ni gazeti la upande mmoja wa chadema habari zake zina vionjo vya mashaka
Matusi ni moja ya siasa ya vyama vyote hakuna jipya
Naye mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani aliwalalamikia makada wa CHADEMA kwa kumsakama kuwa ni mganga wa kienyeji wakati yeye ni muumini mzuri wa Kanisa la Anglikana.
Source: Tanzania daima 27/03/2012
Lema, alimuita Sioi, shoga vipi mkuu ili sio tusi? Labda ungesema Chadema na CCM wanatukanana huko Arumeru Mashariki ungeeleweka.
Helkopta haikupita pale kwa bahati mbaya ulikuwa ni uchokonozi wa kisiasa.
Tanzania Daima ni gazeti la upande mmoja wa chadema habari zake zina vionjo vya mashaka
Matusi ni moja ya siasa ya vyama vyote hakuna jipya
Kumbe siyo shoga? hebu tukumbushe Lema aliyasema maneno haya akiwa kwenye mkutano upi, ulifanyika lini saa ngapi? na alisema maneno gani? nimekuwepo kwenye mikutano mingi sana ya chadema lakini sija wahi kusikia akiasema Sioi ni Shoga...Ila kuna wimbo huwa anaupenda sana kuuimba" Mtoto huyu vipi, hashughuliki, mtoto siyo riziki".....maneno haya yako kwenye wimbo mmoja wa Solo ThangLema, alimuita Sioi, shoga vipi mkuu ili sio tusi? Labda ungesema Chadema na CCM wanatukanana huko Arumeru Mashariki ungeeleweka.
CCM tumewaita Aden Rage na Adam Malima kukomesha huu uchochezi wa kisiasa unaofanywa na CDM.
Pale hakuna sera ni matusi mwanzo mwisho mkuu yaani kama unamtoto/Mke/dada usithubutu kumruhusu akaenda kwenye mkutano wa CCMhata sera anazotangaza Mwigulu si za bahati mbaya.
Lema, alimuita Sioi, shoga vipi mkuu ili sio tusi? Labda ungesema Chadema na CCM wanatukanana huko Arumeru Mashariki ungeeleweka.