Ukweli ni kwamba Karatu mpaka sasa hawajatangaza kutokana na kigugumizi cha kawaida cha CCM kwa jimbo hilo. Hivyo, tuweke pembeni uvumi na ushabiri kwani hautusaidi. Aliye na usahihi wa mambo alete figures siyo insha.
funga mdomo, unless utoe chanzo cha habari yako...! Mimi nipo Karatu sasa, na nimetokea Ngorongoro leo...! Na ninavyojua mimi CCM, particularly kwa upande wa raisi ni mbaya sana...! Japo siwezi kurasimisha bila takwimu au chanzo chenye kuweza kuaminika....!