clementsanga
Member
- Jul 15, 2013
- 65
- 27
Mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kiembesamaki, Zanzibar, Thabit Kombo ameibuka kidedea kwa ushindi wa kura 1856, sawa na asilimia 75.1!

CCM Oyee. Kidumu chama cha mapinduzi. Safi sana bado huko Arusha.