Tulia Makonda afanye kazi,tena anatakiwa apewe nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM kabisa.Wazee gani unaowazungumzia,vijana unganeni na Makonda CCM itoke mikononi mwa Wazee wezi ambao wamejimilikisha nchi.
Bora ata Makonda kapanda roli,Rais Ruto alipanda torori na sasa ni Rais,usipende starehe sana Mjomba wapiga kura hawatembelei V8,wanatumia sana usafiri ambao Makonda anautumia kuwa nao karibu.
Sent from my V2111 using
JamiiForums mobile app