Pamoja sana mkuu. mimi roho imeniuma sana, haswa vile nilijenga imani yangu kwa warioba, kumbe nilijidanganya. mzee ni hovyo kabisahoja za upinzani nyingi huwa zinafanyiwa utafiti wa kina kabla hazijaletwa hadharani,hili swali limeanza kupigiwa kelele mda sana,na hata cuf nao wamelisemea sana,lakini warioba kaziba pamba masikioni,ubinafsi na wa viongozi wetu hasa wa chama tawala ndiyo umetufikisha hapa tulipo,kwa kuamini wao wako perfect kwa kila kitu,kuna watu wanaweka utaifa mbele kimuonekano ila kimatendo ni tofauti kabisa.
katiba hii haikutakiwa kuingiliwa na chama chochote cha siasa,na wajumbe wa tume hii pia walitakiwa wawe huru na wengi watoka kwenye taasisi kama jukwaa la katiba,ama asasi za kiraia na sio vyama vya siasa,vyama vingetoa wawakilishi tu,lkn leo kumejaa waasisi wa Tanu na badae ccm unadhani tutakuw na katiba nzuri plus tume huru ya uchaguzi?<tutaitamani katiba ya kenya mpk kufa kwetu ila daima hatutafikia ubora wake labda kizazi cha watoto wetu not us>
Mwigulu,asha rose migiro,nape,kinana,mnakoipeleka nchi hii siko mnakodhani nyie,kizazi chenu kitawalaani sana kwani mawazo yenu hayawezi kuiwakilisha Tanziania nzima na wala hayataendana na kasi ya ukuwaji wa ubongo wa kazazi kijacho
Wee bocho acha kujifanya kipofu wakati unaona,na hata ukijifnya huoni wenzio wataon kwa niaba yako!! Hata mulipojifanya hamuoni umuhimu wa katiba yenyewe mukidai hii ya sasa inatosha kuna wenye macho waliowasaidia kuona sio tu matundu,bali mapango yaliyokuwa kwenye katiba hii,mukaona aibu,mukainamisha vichwa,mukakubali shingo upande kwa masharti meengi,sasa tena unajifanya huoni monopolism iliyokitwa na chama chako kwenye mchakato huu!!anyway Hata ujifanye hujui naamini unajua na unaomba mungu wengine wasijue.Wkati watu wako busy na mchakato wa katiba, CHADEMA ilkuwa busy na maandamano! Mnategemea nini?
Well, katiba haizungumzii CCM bali mustakbali wa wananchi wote na sio kwamba wakishaamua hao wajumbe wa mabaraza ya katiba basi katiba inapitishwa kuwa sheria.
Katiba ni mchakato na mwisho wa siku itakuja tena kwetu kwa ajili ya kuipigia kura. Ni mapema mno kukata tamaa kwamba tuliyoyataka hayatakuwemo.
Hao wajumbe wa CCM walichofanikiwa kupata ni ajira ya muda tu si vinginevyo.
Wee bocho acha kujifanya kipofu wakati unaona,na hata ukijifnya huoni wenzio wataon kwa niaba yako!! Hata mulipojifanya hamuoni umuhimu wa katiba yenyewe mukidai hii ya sasa inatosha kuna wenye macho waliowasaidia kuona sio tu matundu,bali mapango yaliyokuwa kwenye katiba hii,mukaona aibu,mukainamisha vichwa,mukakubali shingo upande kwa masharti meengi,sasa tena unajifanya huoni monopolism iliyokitwa na chama chako kwenye mchakato huu!!anyway Hata ujifanye hujui naamini unajua na unaomba mungu wengine wasijue.
Sasa msingi wa katiba mpya ni nini, ili tujuwe kama ni hayo mabaraza? Sisi nyumba kwetu hatuanzi na msingi, tunaanza na Plan ya jengo lenyewe kwanza.
Utaanzaje kujenga nyumba kwa kuanza msingi ilhali hujuwi kama bajeti inatosha kwa aina ya jengo unalolitaka? GT vipi?
Ukweli unabaki palepale kuwa unapojenga nyumba msingi ndio huanza kujengwa
Hoja yako dhaifu.
Gazeti lenyewe mwanahalisi ambalo ni uchochezi na uzushi.
CHADEMA wakati mchakato wa mabadiliko ya katiba ukiendelea, wenyewe walikuwa wanaandaa maandamano!
Ningekuwa na nafasi ya kushinikiza hili, basi kuna mmoja kati ya viongozi wa CHADEMA alipaswa kujiuzulu kwa kushindwa kusimamia vema mchakato mzima wa katiba.
Tegemeo la wanachama wenu ni kuwa CHADEMA ingesimama kidete katika kila hatua kuhakikisha wananchi wanapata hichi ambacho mnakisimamia.
Lakini kutokana na kukosa umakina, CHADEMA ikadakia non issues wananchi wakiwa hawajui wajipange vipi mpaka mabaraza yakaundwa ndio mnashtuka shuka ilhali kumekucha!
Learn a lesson next time.
Bahati yenu nzuri ni kwamba kama katiba haikuwapa wazanzibari mamlaka kamili basi haipiti. Ila wakiweka tu hicho kipengele, aa basi inapita Tanzania bara na ZNZ bila kupingwa.
sasa mkuu ikipita hiyo katiba mbovu wewe binafsi utakuwa unanufaika nini?
Waraka wa Pongezi toka kwa Kamati Kuu ya CCM kuelekezwa kwa Watendaji wa chama hicho umenaswa. Waraka huo unapongeza kufikiwa malengo ya kumiliki Mabaraza ya Katiba ya Wilaya.
Katika Mabaraza hayo Tanzania nzima CCM ina wajumbe asilimia 90. Waraka husika una jedwali linaloonesha mikoa,idadi ya wajumbe wa CCM,vyama vya upinzani na wale wasio na vyama. Alipoulizwa Mwigulu juu ya waraka huo,aliruka bila kutoa hoja ya msingi.
Waraka huu unathibitisha tuhuma zilizotolewa na CHADEMA kupitia Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria,Tundu A. Lissu(Mb) pamoja na Jukwaa la Katiba linaloongozwa na Bwana Deus Kibamba kwamba CCM imeuingilia na kuuharibu mchakato mzima wa uundwaji wa Katiba mpya hasa katika uchaguzi wa Wajumbe waMabaraza ya Katiba.
Chanzo: Gazeti la Mawio la Alhamisi tarehe 30/5/2013;Toleo Nambari 0045
Mimi: Waungwana wa Tanzania, hapa patapatikana Katiba ya nchi au ya chama tawala?
Cc Mwigulu Nchemba Nape Nnauye Ritz Sumu MwanaDiwani et al
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hivi hao CCM tu ndiyo Wataipigia kura ya NDIYO au HAPANA hiyo katiba mpya, mbona wanajidanganya!
Au matumanini yao yapo kwenye NEC kwamba itachakachua KURA YA MAONI.
Kama rasmu ya katiba mpya haitakidhi maoni ya WATANZANIA tutapiga kura ya HAPANA. CCM msijidanganye, hurumieni kodi zetu mnazotumia sasa kutengeneza hiyo katiba ya ki-CCM, CCM
Wkati watu wako busy na mchakato wa katiba, CHADEMA ilkuwa busy na maandamano! Mnategemea nini?
Well, katiba haizungumzii CCM bali mustakbali wa wananchi wote na sio kwamba wakishaamua hao wajumbe wa mabaraza ya katiba basi katiba inapitishwa kuwa sheria.
Katiba ni mchakato na mwisho wa siku itakuja tena kwetu kwa ajili ya kuipigia kura. Ni mapema mno kukata tamaa kwamba tuliyoyataka hayatakuwemo.
Hao wajumbe wa CCM walichofanikiwa kupata ni ajira ya muda tu si vinginevyo.