Miaka 50 bado tu wanaimarisha chama? Ahadi walizoahidi wananchi mwaka 2010 watazitimiza lini?
Hata huko Monduli ccm haipo. Wananchi wa huko wanaliwazwa na kupumbazwa tu na pesa za wizi...Matumizi mabaya ya pesa!!! ccm iko monduli tu Arusha!!!! Semeni tu ameenda kuwafariji ccm masalia.
ccm chama mfu arusha! aaaaaaaaah aaaaaaah
Yani hata sijui ni kwanini!!! Mtu akitaja ccm tu kichwa kinaniuma na kisha nahisi kichefuchefu, I am serious!Viongozi wa ngazi za juu serikalini wametakiwa kushirikiana na waasis wa vyama hasa mabalozi wa vitongoji kutokana na wao kuwatambua wananchi wao kwa kiwango kikubwa hivyo kuweza kukuza chama na kupunguza uhalifu.
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha wakati wa ziara ya chama cha mapinduzi kutembelea wilaya na kata kwa Wajumbe, Makatibu, Wenyeviti, Waasis wa vyama pamoja na Mabalozi kwa lengo la kujadili muongozo wa chama na changamoto zinazokumba baadhi ya kata. Mwenyekiti huyo ametembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha.
CCM OYEEEE......
Kama ana mimba ya ukombozi aende clinic ya nini?dalili za mimba, wahi clinic.
Mkuu mleta mada hajitambui bado kalewa gongo kama wapo viongozi kuimarisha chama Arsha wametumwa na ccm kuimarisha cdm.
Lema tumbo jotoViongozi wa ngazi za juu serikalini wametakiwa kushirikiana na waasis wa vyama hasa mabalozi wa vitongoji kutokana na wao kuwatambua wananchi wao kwa kiwango kikubwa hivyo kuweza kukuza chama na kupunguza uhalifu.
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha wakati wa ziara ya chama cha mapinduzi kutembelea wilaya na kata kwa Wajumbe, Makatibu, Wenyeviti, Waasis wa vyama pamoja na Mabalozi kwa lengo la kujadili muongozo wa chama na changamoto zinazokumba baadhi ya kata. Mwenyekiti huyo ametembelea baadhi ya kata katika mkoa wa Arusha.
CCM OYEEEE......
Kojoa ukalale wewe mama mkubwa