CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Mwenezi wa CCM Ndg @hpolepole atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari, leo Jumapili tarehe 26 Machi 2017 saa 9:00 Alasiri, OND Lumumba-Dar

=====



=> Tunataka viongozi ambao wanapatikana kwa haki"- Polepole

=> Mwaka huu tuna uchaguzi,viongozi ambao tutawapata wawe viongozi ambao wana sifa ambazo Watanzania wanazitaka"-Polepole

=> Tumeweka kanuni ambazo wakati wa uchaguzi haziruhusu uholela ambao unarusu mianya ya mambo yasiyofaa katika chaguzi-Polepole

=> Tumweka muundo ambao sisi wote tutakuwa teamCCM na yule mmoja anakuwa ameshinda wote tunakuwa tumeshiriki kumpitisha-Polepole

=> Tunaweka misingi ambayo hakuna mwanya ambao kiongozi atakuwa anafanya jambo ambalo unaona halifai"-Polepole

=> Uimara wa CCM ndiyo msingi wa kuisimamia serikali"- Polepole

=> Tunataka kuwa na viongozi ambao ni waadilifu, wawe na weledi na uzoefu ambao umejitosheleza"- Polepole

=> Lakini pia tunataka mtawanyo wa wanawake na wanaume na wawe wanakidhi pia kuachiana vijiti katika utendaji"- Polepole

=> Katibu Mkuu, Kinana amesafiri nje ya nchi kwa ajili ya matibabu na kuangalia afya yake na anaendelea vizuri"- Polepole

=> Leo tumefanya uteuzi, uteuzi mkubwa sana"- Polepole

=> Chama cha Mapinduzi kimefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa mikoa 31 na uteuzi utaanza mara moja"- Polepole

=> Ambao hawajapata uteuzi wafike kwenye ofisi za chama wapewe utaritibu ambao umetumika"- Polepole

=> Makatibu wa CCM Mikoa;

Elias Mpanda- Arusha
Jamila Yusuf- Dodoma
Adam Ngalawa- Geita
Christopher- Iringa
Rahel Degeleke- Kagera

Kajolo Peter- Katavi
Naomi Kapambala- Kigoma
Jonathan Marko- K'njaro
Mwanamasoud Pazi- Lindu
Paza Mwamlima- Manyara

Kulwa Omary- Morogoro
Zakaria Mwansasu- Mtwara
Raymond Mwangala- Mwanza
Hosea Mpatike- Njombe
Anastazia Amasi- Pwani

Amina Imbo- Ruvuma
Haula Kachambwa- Shinyanga
Donald Magesa- Simiyu
Janeth Kayanda- Tabora
Allan Kingazi- Tanga

=> Makatibu wa CCM Wilaya;

Ramadhan Dalo- Arusha
Solomoni Itunda- Karatu
Simba Gadafi- Longido
Amos SHimba- Ngorongoro

Hanafi Msabaha- Kinondoni
Robert Kelenge- Kigamboni
Martin Mwakitabu- Chamwino
Asia Mohameh Chemba

Nuru Ngeleja- Chato
Clemence Mponzi- Kilolo
Mohamed Mfaume Bukoba Mjini
Mwajuma Boha- Misenyi

Miriam Kaaya- Moshi Vijijini
Agness Msuya- Siha
Mayasa Ayoub- Kilwa
Rafael Maumba- Liwale
Othaman Dunga- Hanang

Miriam Kaaya- Moshi Vijijini
Agness Msuya- Siha
Mayasa Ayoub- Kilwa
Rafael Maumba- Liwale
Othman Dunga- Hanang

Rehema Ndele- Mbozi
Shaibu Mtawa- Morogoro Vijijini
Alfred Mwambeleko- Masasa
Said Mkoa- Sengerema

Rehema Ndele- Mbozi
Shaibu Mtawa- Morogoro Vijijini
Alfred Mwambeleko- Masasi
Said Mkoa- Sengerema

=> Zaidi ya asilimia 30 ya Makatibu Wakuu ni wanawake"- Polepole

=> Mambo ambayo tumezingatia ni uadilifu, weledi, kujitoa, uchapa kazi"- Polepole

=> Makatibu Wakuu 11 wa wilaya ni wapya, huwezi peleka CCM mpya kama hakuna watu wapya"- Polepole

=> Kwenye mikoa asilimia kubwa ni wapya lakini wametumika kwenye chama maeneo mengine ni wachapa kazi na wazoefu"- Polepol

=> Haya mageuzi yataendelea yalianza kwa Mwalimu Nyerere na sasa uongozi wa sasa wa chama unafanya mageuzi"- Polepole

=> Dhamira yetu na nguvu yetu ni kuona mabadiliko yanafanyika tulianza kwa viongozi na sasa watumishi"- Polepole

=> Kati ya Makatibu Wakuu wapya 31, 20 ni wapya na kati ya Makatibu Wakuu wa Wilaya zaidi ya 130, 70 ni wapya"- Polepole

=> Tunahuzunishwa sana na watu wacheche wanaopotosha iwe ni taarifa za serikali ama za chama chetu cha mapinduzi"- Polepole

=> Makatibu wa CCM Mikoa walioteuliwa leo, 20 ni wapya kati ya 31. Kwa upande wa Makatibu Wakuu wa CCM Wilaya, 76 ni wapya.

=> Hakuna utaratibu wowote ambao umepitishwa wa mtu ambaye atapeperusha bendera ya chama chetu katika uchaguzi wa 2020"-Polepole

=> Hakuna sehemu yoyote ya mabadiliko ya katiba tuliyoyafanya yanayohusu mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa uchaguzi wa mwaka 2020.

=> Kuhusu RC Paul Makonda, CCM inautaratibu wake wa kushughulikia viongozi wake. Chama kitakapokuwa tayari kitalishughulikia suala hili.

=> Pili, RC Paul Makonda ni mteule wa Rais Magufuli, na yeye anapomteua mtu anaweza pia kumchukulia hatua.

=>Uhusiano wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na vyombo vya habari ni wa kihistoria, na nipende kusema kuwa tunaheshimu uhuru huo
 
@hpolepole
31m
Nitakuwa na Mkutano na Waandishi wa habari Leo tar 26 Machi, Saa 9:00 Alasiri. Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba

Bahati mbaya sana Humphrey Polepole niliyemfahamu Mimi miaka mitatu nyuma akiwa na Mentors wake akina Mzee Butiku, Shivji, Salim na Warioba siyo huyu wa leo. Hakika sasa nimeamini Watu huwa wanabadilika pindi wakiula. Sasa hivi Polepole amejaa Unafiki mtupu kuliko Ukweli ambao alikuwa akiuhubiri sana huko nyuma.

Huo Mkutano najua keshapangwa nini cha kusema ili kuituliza public juu ya upuuzi uliotokea na najua hakuna jipya litakalotokea hapo sana sana leo tutasikia tu muendelezo wa Ngonjera zake za zilienda na zikarudi. Chama kimeshaingiliwa na Virusi hatari na kimebaki Kufa tu sasa.
 
Bahati mbaya sana Humphrey Polepole niliyemfahamu Mimi miaka mitatu nyuma akiwa na Mentors wake akina Mzee Butiku, Shivji, Salim na Warioba siyo huyu wa leo. Hakika sasa nimeamini Watu huwa wanabadilika pindi wakiula. Sasa hivi Polepole amejaa Unafiki mtupu kuliko Ukweli ambao alikuwa akiuhubiri sana huko nyuma.

Huo Mkutano najua keshapangwa nini cha kusema ili kutuliza public juu ya upuuzi uliotokea na najua hakuna jipya litakalotokea hapo sana sana leo tutasikia tu muendelezo wa Ngonjera zake za zilienda na zikarudi. Chama kimeshaingiliwa na Virusi hatari na kimebaki Kufa tu sasa.


We jamaa ni mnafiki sijapata kuona. Ila unafiki wako unasababishwa na njaaa
 
Kwani hakuna mikutano ya kushtukiza?

Maana hatuchelewi kuambiwa kuwa naye katumwa India kutibiwa tena siku 14.

Labda awe katumwa na kiranja mkuu kurekebisha hali ya hewa.

Kama Pole pole umetumwa, tuletee ufafanuzi wa maelezo uliyoyatoa DW kuhusu watumishi wa umma.
 
Back
Top Bottom