MUSUMIFYCOM
Member
- Nov 28, 2012
- 55
- 28
Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
huamini masikio yako wewe nani anakutaka mchuna ngozi za watu `mkubwaVicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
Taarifa tulizozipata kutoka kwa waandishi wetu wa habari ndani ya chama cha mapinduzi ni kwamba wanachama wake wameanza kushikana uchawi kwa sababu chadema inafanya mikutano kila wiki na kupata watu wengi kupita kiasi,hii imewasababisha ccm kuanza kukimbiana na kurushiana mpira,na mbunge wa jimbo hilo ameahidi kuwa harudi bunge la katiba na kila sku atakua anaongea na wana mara,kuwaeleza matatizo yanayosababishwa na chama cha mapinduzi,
Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
Sasa Kwa Namna Hii CCM Watapona kweli hapa ni Maumivu tu kwa CCM
Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
wanashikanaje uchawi wakati wote ni wachawi
MSALANI, IFWEERO, RITZ, FAIZA FOXY bila kumsahau kilaza Chabruma...NJOONI MTETEE LICHAMA LENI LA MAGAMBA LILILOKUFA..NJOOni haraka!
Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
Pole sana kibaraka wa Mathayo mshazoea kushika Pembe za Mathayo.Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.