CCM wasalimu Iringa mjini

Teh teh, yaani chama kinashusha bendera za chama kingine? Huu ni ujinga na uzandiki mtupu. Hivi lini watanzania tutakuwa na uzalendo na uvumilivu wa kisiasa?
 
Nipo hapa Iringa mbona kuna Bendera nyingi za CCM kuliko nilivyodhania? Acha uwongo wewe!!!!

Wadanganye wajinga wenzako
uko iringa ya pawaga hizo bendera z ccm umeziona ww pawaga
 
Shelui iringa ipi unayosema wewe kuna mibendera ya ccm kwaiyo bendera y taifa n ccm usilopoke ovyo kama hujui jambo
 
Pale karibuna miami upande wa makaburini zipo tatu atakuwa ameona hizo, Ila nimeipenda hii ya kuondoa bendera za vyama barabara kuu atakapopita mkuu wanchi. Hiii inaonyesha ni tukio la kitaifa na sio la ki ccm. Kudos ocd, ded na msigwa.
 
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.
Kumbe jibu unalo kwamba labda mgogoro utokee? Sasa mapanya yataacha kugombana wakati yanajijua ni majizi
 
HAPO SAFI KABISA CCM WAMEZOEA iringa huo haukubaliki hata kidogo kutukuza ccm iliyoshindwa katika jimbo hilo eti bendera za ccm zipepee na zile za CDM ZISHUSHWE. HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
 
Siku za Msigwa Iringa zinahesabika,wananchi wamemchoka sana,Pengine utokee mgogoro tena CCM kama 2010.

Nakushangaa sana pamoja na ndg zako kule kijijini kuendelea kuwa duni maskini bado unashangilia CCM iliyosababisha hali hiyo. POOOOOOOLEEEE.
 
Jamani hilo ni jimbo la cdm magamba yanajilazimisha tu, hilo li msukule lao walipeleke bagamoyo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…