E ethink Member Joined Mar 5, 2009 Posts 11 Reaction score 5 Oct 2, 2014 #1 Ndg. wanajamii mtakumbuka tangu viongozi wa waandamizi wa chama walipinga uanzishwaji katiba mpya. Nadhani yanayotokea sasa na tangu utungwaji wa sheria yenyewe yawezekana ilipangwa kwa makusudi ili katiba ya sasa iendelee. Kwa mantiki hiyo mpango mkakati wa CCM umefanikiwa kwa 100% na sasa katiba ya sasa inaendelea kubaki kama ilivyo ilani ya Chama. Hongereni CCM kwa linda ilani yenu ya uchaguzi.
Ndg. wanajamii mtakumbuka tangu viongozi wa waandamizi wa chama walipinga uanzishwaji katiba mpya. Nadhani yanayotokea sasa na tangu utungwaji wa sheria yenyewe yawezekana ilipangwa kwa makusudi ili katiba ya sasa iendelee. Kwa mantiki hiyo mpango mkakati wa CCM umefanikiwa kwa 100% na sasa katiba ya sasa inaendelea kubaki kama ilivyo ilani ya Chama. Hongereni CCM kwa linda ilani yenu ya uchaguzi.
mjepo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 4,913 Reaction score 919 Oct 2, 2014 #2 Bawacha bana ndiyo umeandika nini sasa.
B Baba Kelvin JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 788 Reaction score 139 Oct 2, 2014 #3 mjepo said: Bawacha bana ndiyo umeandika nini sasa. Click to expand... Kwa akili unadhani umemkashifu wakati kwa namna fulani umeipa promo BAWACHA bila ww kufahamu.
mjepo said: Bawacha bana ndiyo umeandika nini sasa. Click to expand... Kwa akili unadhani umemkashifu wakati kwa namna fulani umeipa promo BAWACHA bila ww kufahamu.
M makundubhyali JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 2,389 Reaction score 886 Oct 2, 2014 #4 Nia yao itakuwa ilikuwa hiyo, ila makundi ya CCM yaliamua kutumia nafasi hiyo kumpeleka kibra Mzee 6,kwisha habari yake.CHEZA NA CCM WEWE!!?
Nia yao itakuwa ilikuwa hiyo, ila makundi ya CCM yaliamua kutumia nafasi hiyo kumpeleka kibra Mzee 6,kwisha habari yake.CHEZA NA CCM WEWE!!?