Hapo wala usiilaum CCM ni vyama vyote vya Tanzania, tena huku upande pili ndio kabisaa, mara tumebalishia gia angani, yaani kwa kifupi tu maamuzi mtu mmoja tu, kule kuita sijui mkutano mkuu ni kama kutimiza wajibu tu. Tena afadhali hao wa kijani angalau wanafauta taratibu za kidemokrasia hata kama wanaigiza. Huku kwetu no shida ACT mpaka UDP chama taasisi ya mtu yeye ndio kila kitu.Tatizo kubwa sana la wanaCCM wengi ni kupenda kutumia Uti wa mgongo badala ya ubongo. Yaani kama watu wenye tatizo la mtindio wa ubongo hivi.
Mpaka leo bado yanaimba "Fikra za mwenyekiti zidumuuu". Vipengele vyote hapo ni Fikra za mwenyekiti wao ambaye leo amesema huwa anapenda sana SHILAWADU(Umbeya!)
Nadhani ndio mabadiliko ya ovyo kabisa kuwahi kutokea ndani ya CCM toka TANU ilipoundwa.
Kama kubadilisha gia angani kumleta mamvi na kumpitisha bila hata kufuata hatua moja ya mchakato wa kuwapata wagonbea urais kupitia chadema....Tatizo kubwa sana la wanaCCM wengi ni kupenda kutumia Uti wa mgongo badala ya ubongo. Yaani kama watu wenye tatizo la mtindio wa ubongo hivi.
Mpaka leo bado yanaimba "Fikra za mwenyekiti zidumuuu". Vipengele vyote hapo ni Fikra za mwenyekiti wao ambaye leo amesema huwa anapenda sana SHILAWADU(Umbeya!)
Nadhani ndio mabadiliko ya ovyo kabisa kuwahi kutokea ndani ya CCM toka TANU ilipoundwa.
Acha kuchanganya mambo hapa.Kama kubadilisha gia angani kumleta mamvi na kumpitisha bila hata kufuata hatua moja ya mchakato wa kuwapata wagonbea urais kupitia chadema....
Povu linawatoka kwa hatua zilizochukuliwa na CCM lakini ndo hivyo...nyani haoni kunduuule
Chama chetu chadema kimegeuka kuwa kijiwe cha instagram hakuna kitu....Magufuli katuchachafyaAcha kuchanganya mambo hapa.
Issue iliyopo hapa ni mabadiliko ya katiba ya CCM chini ya uenyekiti wa Magufuli.
Ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA then UKAWA halikuwa jambo la mabadiliko ya katiba, ni utaratibu wa chama chao katika vikao vyao tena ulikuwa ni mchakato.
Ni vyema hata ungehoji utaratibu wa Mkweree wa kuja na majina yake matano mfukoni aliyoshauriwa na Mama Salma na kuandikiwa na Rizimoko.
CDM hainaga mtu wa hovyo kama wewe. Nadhani nyie ndio wale wa lumumba mnaoshabikia mazingira ya kutengeza raisi wa milele. Ata uganda na rwanda walianza hivi hivi taratibu.Chama chetu chadema kimegeuka kuwa kijiwe cha instagram hakuna kitu....Magufuli katuchachafya
Acha kuchanganya mambo hapa.
Issue iliyopo hapa ni mabadiliko ya katiba ya CCM chini ya uenyekiti wa Magufuli.
Ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA then UKAWA halikuwa jambo la mabadiliko ya katiba, ni utaratibu wa chama chao katika vikao vyao tena ulikuwa ni mchakato.
Ni vyema hata ungehoji utaratibu wa Mkweree wa kuja na majina yake matano mfukoni aliyoshauriwa na Mama Salma na kuandikiwa na Rizimoko.
Tatizo kubwa sana la wanaCCM wengi ni kupenda kutumia Uti wa mgongo badala ya ubongo. Yaani kama watu wenye tatizo la mtindio wa ubongo hivi.