Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,310 Mar 2, 2014 #1 Imebainika kuwa ccm kwa makusudi inaendelea kushinikiza wajumbe wa bunge la katiba wapige kura ya wazi ili wajumbe wa upande wao wasije kiuka maagizo ya ccm
Imebainika kuwa ccm kwa makusudi inaendelea kushinikiza wajumbe wa bunge la katiba wapige kura ya wazi ili wajumbe wa upande wao wasije kiuka maagizo ya ccm
B brigh wise Member Joined May 4, 2013 Posts 70 Reaction score 17 Mar 2, 2014 #2 umoja ni nguvu utengano ni udhaifu!
Qualifier JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 1,252 Reaction score 408 Mar 2, 2014 #3 Ccm wanapashwa kujua kuwa katiba inayo kusudiwa kuundwa ni ya watanzania wote na sio wana ccm
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,310 Mar 2, 2014 Thread starter #4 Qualifier said: Ccm wanapashwa kujua kuwa katiba inayo kusudiwa kuundwa ni ya watanzania wote na sio wana ccm Click to expand... Hiyo kaka Qualifier ni kweli lakini watu waliomadarakani hawajali kabisa.wanachojali wao ni kuendelea kushika dola.
Qualifier said: Ccm wanapashwa kujua kuwa katiba inayo kusudiwa kuundwa ni ya watanzania wote na sio wana ccm Click to expand... Hiyo kaka Qualifier ni kweli lakini watu waliomadarakani hawajali kabisa.wanachojali wao ni kuendelea kushika dola.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Mar 2, 2014 #5 Wakizingua tunatemana nao hata kabla ya kura ya maoni
Royals JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,478 Reaction score 392 Mar 2, 2014 #6 Sipigi kura ya aibu kamwe.