Nyamsusa JB JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 567 Reaction score 1,565 Sep 22, 2015 #1 Vichapo vinapishana viwango. Kuna vichapo vya kawaida, vya kati na kichapo Kikuu cha hali ya juu. Mtu akipewa kichapo kikuu lazima atapiga mayowe kama;- "Mama nimekomaa" "Mama Nakufaa" "Uwii wananiuaa" "Mayo Nafwaa" Lakini kwa ndugu zetu wasukuma mtu akipewa kichapo kikuu utasikia anasema "Mayoo Nanyaaa" Mtu akilia namna hiyo ujue kweli kapata kipondo cha maana. sasa CCM tunawasikia wanalia "Mayoo Nanyaa" Nadhani kichapo cha UKAWA kinawaingia.
Vichapo vinapishana viwango. Kuna vichapo vya kawaida, vya kati na kichapo Kikuu cha hali ya juu. Mtu akipewa kichapo kikuu lazima atapiga mayowe kama;- "Mama nimekomaa" "Mama Nakufaa" "Uwii wananiuaa" "Mayo Nafwaa" Lakini kwa ndugu zetu wasukuma mtu akipewa kichapo kikuu utasikia anasema "Mayoo Nanyaaa" Mtu akilia namna hiyo ujue kweli kapata kipondo cha maana. sasa CCM tunawasikia wanalia "Mayoo Nanyaa" Nadhani kichapo cha UKAWA kinawaingia.
Trustme JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,169 Reaction score 349 Sep 22, 2015 #2 Peoples!!!!!!!!! power!!!!!!!!!!!!!
Lekakui JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,451 Reaction score 590 Sep 22, 2015 #3 makamba wametumia muda na pesa nyingi kujiaminisha kwamba CCM inshinda I think is high time waanze kujitayarisha kisaikologia kwamba watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya nyuma
makamba wametumia muda na pesa nyingi kujiaminisha kwamba CCM inshinda I think is high time waanze kujitayarisha kisaikologia kwamba watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya nyuma
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Sep 22, 2015 #4 Yaani huwa hmna point kabisa kwenye mada zenu. Hivi Ukawa mnaamini kabisa kuwa mtaingia ikulu kwa porojoporojo zenu zisizo na mashiko?
Yaani huwa hmna point kabisa kwenye mada zenu. Hivi Ukawa mnaamini kabisa kuwa mtaingia ikulu kwa porojoporojo zenu zisizo na mashiko?
D defule Senior Member Joined Feb 9, 2015 Posts 128 Reaction score 21 Sep 22, 2015 #5 Uso wa nyoka said: Yaani huwa hmna point kabisa kwenye mada zenu. Hivi Ukawa mnaamini kabisa kuwa mtaingia ikulu kwa porojoporojo zenu zisizo na mashiko? Click to expand... Hujaelewa, "Mayo Nanyaaa" c ilitokea pale "Chato"
Uso wa nyoka said: Yaani huwa hmna point kabisa kwenye mada zenu. Hivi Ukawa mnaamini kabisa kuwa mtaingia ikulu kwa porojoporojo zenu zisizo na mashiko? Click to expand... Hujaelewa, "Mayo Nanyaaa" c ilitokea pale "Chato"
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 Sep 22, 2015 #6 defule said: Hujaelewa, "Mayo Nanyaaa" c ilitokea pale "Chato" Click to expand... Ni hatari sana. Halafu hawana huruma kabisa na mzee wa watu.
defule said: Hujaelewa, "Mayo Nanyaaa" c ilitokea pale "Chato" Click to expand... Ni hatari sana. Halafu hawana huruma kabisa na mzee wa watu.
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,157 Reaction score 1,861 Sep 22, 2015 #7 pippozzzzzzzzzzzzzzzz