Nilipita nyumba ya mbunge wa CCM ,aloo nilisikia vilio tu wakilizana ,mara hii mumewangu hatushindi ,mtoto nae amwambia baba yake baba bora uende UKAWA ,ilikuwa kama kuna msiba.
Ni true story,yaani kama si kutafutana muhali ningeliweka jina hapa ila tunaheshimiana sana sana na demokrasia imetutawala na kwa vile ni jambo la haibu na kuzidiwa bora ,imeeleweka ya kuwa dani ya CCM mambo ipo na tabu sana,