Mimi ni mwanahesabu,,iko hivi
A.Wanachama na wapenzi/wafurukutwa wa chama tawala wa kawaida na wafanya biashara wenye nia njema na chama kuendelea kushika dola wanaaswa kukichangia chama kiasi chochote kukamilisha ajenda ya Kura ya maoni,uchaguzi wa serekali za mitaa na uchaguzi mkuu 2015
B.Fedha zotakazokusanywa zitatolewa kwa wale watukutu na wasio na msimamo wa uhakika na mapenzi mema ya chama ndio hupewa fungu kwa ajili ya kuwashawishi kubaki njia kuu na pia kuwabadili mtizamo wale wote wenye tamaa ya rupia kujiunga na chama kikuu.
Huu ni mtazamo wangu na hauhusiani na mipango yoyote ya chama kikuu.