Hali ni mbaya nimepita maeneo ya mbagala rangitatu vijana wanapewa elf5tano muda huu ili wajiunge na ccm. Wamepanga foleni kwenda kuchukua kadi ya chama wakitoka wanacheka kwa kupewa elf5. Najiuliza endapo wataipigia kura ccm kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ina maana watakuwa wamepewa shilingi elfmoja kwa mwaka kwa kipindi cha miaka mi5 ni sh elf5.