Leo Mida hii ya saa nne katika mitaa ya Leganga na Usa-River chama cha ccm kinagawa bendera na pesa kwa waendesha Toyo(pikipiki) na mikokoteni.
Bendera moja unagaiwa na shilingi elfu tano mpaka sabini kutokana Uongeaji wako. Wanafanya hivi ili kuongeza idadi ya watu kwenye mikutano yao ya Kampeni
Wanatumia gari aina ya Land Cruiser Nyeusi kufanya hiyo biashara.
Vijana wanapokea halafy wanasema "tunakula ccm, tunachagua chadema".
TAKUKURU? Acha utani bwana!Acha uongo wako kama una ushahidi, note number ya gari, unajua namba za TAKUKURU wapigie then watakuja, ni vema na wewe ukajitambulisha kwao manake mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana kesi ya kujibu.
Acha uongo wako kama una ushahidi, note number ya gari, unajua namba za TAKUKURU wapigie then watakuja, ni vema na wewe ukajitambulisha kwao manake mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana kesi ya kujibu.
TAKUKURU? Acha utani bwana!
Labda red brigades
Acha uongo wako kama una ushahidi, note number ya gari, unajua namba za TAKUKURU wapigie then watakuja, ni vema na wewe ukajitambulisha kwao manake mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana kesi ya kujibu.
Mkuu sizushi wala nini, ni kweli kabisa. Nenda Tengeru sasa hivi utayaona. Wametoka leganga muda sio mrefu wanaelekea huko.
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU