Bora umeona hilo, huyu Mangi yeye nyuzi zake zooote ni choko choko tu anawashwa mpaka ma-kalio-ni yani. Mara COVID mara Samia, mara Kile. It seeems pessa imemwagwa kwa Vyama pinzani ili kuipa kick CORONA na CHANJO zake. Sasa hawaa akina Ell na CHADEMA kwa ujumla ni madalali wa Mabeeru ili ajenda yao ifanikiwe. Ndio maaana Mmiliki wao Bw. Mbowe anasisitiza CHANJO LAZIMA ili kuwafurahisha waliomtuma. Thread za huyu ell na kundi lake hapa JF zimejaza Jukwaa la Siasa kwahiyo wamezuia hata vitu vingine kujadiliwa. Mods tunaomba muuunganishe nyuzi za Ell na kundi lake ziende Uzi mmoja wa COVID 19
Wajinga sana hawa hawa chawa wa Mabeberu.