CCM: Wanachama, wapenzi na mashabiki

CCM: Wanachama, wapenzi na mashabiki

Pelle mza

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Posts
3,050
Reaction score
1,694
Mwenyekiti wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete hivi karibuni atakabidhi kiti kwa Mh.Magufuli,
Upande wa Katibu wa chama no prob with Kinana ila kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi ambapo kwa wakati huu tunahitaji saaana kupunguza tofauti zetu na wanachama, wapenzi na mashabaki wa vyama vingine!
Tunaowategemea wamechaguliwa kuwa wabunge mfano Nape, January Makamba et al.

Je, vipi kuhusu Mr.Charismatic Humphrey Polepole!
 
Unajianzishia uzi mwenyewe ili utest zali.... Polepole ana akili na uwezo wa kuwa mwenezi wa chama... Kuwa mwenezi kwa kipindi hiki CCM inahitaji mtu aliyetulia na sio mropokaji kama Nape au Kinana
 
Unajianzishia uzi mwenyewe ili utest zali.... Polepole ana akili na uwezo wa kuwa mwenezi wa chama... Kuwa mwenezi kwa kipindi hiki CCM inahitaji mtu aliyetulia na sio mropokaji kama Nape au Kinana

Sio kwamba natest zali Mkuu, kwa sasa tunahitaji kauli zilizotulia, mtu msikilizaji, asiyehamaki!
 
Naunga mkono hoja Yako humprey anafaa sna

Historia ya chama na Tanzania kwa ujumla anahifahamu, si mwepesi wa kutoa matamshi/kauli za ku-provoke wasio wanachama, wapenzi na mashabiki
 
Kinana kiongozi makini ndio amehuisha ccm NA kuweka hapo ilipo leo lau KAMA si juhudi za ke binafsi alitembea kila. Kijiji tanzania akinadi chama.amesimamia kampeni za ccm kwa umakini mkubwa NA ustadi.binafsi nampongeza.
 
Back
Top Bottom