Wakati CDM tunajianda kuweka jiwe kama ilivyo ada baada ya kutenguliwa kwa ubunge wa Arusha mjini, CCM wamejipanga kuchukua jimbo lao.
Wao wameazimia kuweka almasi ambayo kwa msing ni ngumu kuliko jiwe. Kwa wale waliosoma kemia watakubaliana nami.
Lengo letu la ama kumpandisha Silaha au kumrudisha Lima itakuwa ni njia pekee iliyobaki. CCM hawatafan
ya kosa hata chenmbe, unajua tena next opportunity when it comes like mkate kutoka mbinguni. Hivyo CDM tusibweteke kwamba hata jiwe wakati wenzetu wanaandaa almasi.
KIDOKEZO: A. Kinana utakumbuka ndiye aliyeifanya Arusha kuwa Arusha hivi leo. Mt. Meru hospitali ni mradi wake na mingine mingi.
Lets wait and see.
Kinana Aliingia bungeni Mara ya kwanza 1985 kwa kumshindaa dr kivuyo.....lakini kufikia mwaka 1995 hakugombea tena ...si kwa kutaka no..Bali kwa kulazimishwa ..watu walimuambia wazi akitia mguu Arusha basi.....wataweka wazi status Yake ya uraia........pili alikimbizwa na kashfa ya wizi ambapo alichukuaga mashine za kufua zilizotakiwa kuja mount meru akazifunga kwenye dry cleaner Yake....
Tatu alikuwa akihusihshwa na biashara ya meno ya tembo iliyokuwa kubwa sana wakati huo ....ilipelekea baada ya yeye kuondolewa kwenye uwaziri wa ulinzi ......waliokuja baada Yake wafanye operation kubwa ya kijeshi iliyoongozwa na maj gen loisulie Kuwaondoa majangili ya kisomali kwenye mbuga zetu .....ambayo ya yalikuwa linked na kinana.
KINANA THE KING MAKER-mwasisi wa uchakachaji
Kashfa hizi zilimkimbiza kinana Arusha na Tanzania kwa ujumla ...ambapo baada ya kumsaidia mkapa kwenye
Kamati Yake ya mwaka 1995 ambazo ziligubikwa na wizi mkubwa wa kura.....alienda marekani kwa kisingizio cha kusoma ...ikumbukwe kuwa kinana alisoma old moshi na akipata devision zero..kabla ya kujiunga youth league then jeshi.
Mwaka 2004 kinana alirejea tena nyumbani safari hii kuandaa kampeni za pili za mkapa......ambapo walifanikiwa kushinda ....na kuwabana mbavu wapinzani ...,baada ya hapo akageuka defacto campagne manager wa chama.....na nguvu zake zikawa kubwa ....ila kwa kuwa makaratasi Yake hayapo sawaa hajapata tena kuingia siasa za ushindani.....zaidi amekuwaa mfanyabiashara mkubwa ...karibu dubious deals nyingi zinamhusu kinana...Kama watu wa meli,etc
Mwaka 2005 alikuwa kampeni manager wa KIkwete ...wote mnajuwa alitengeneza pesa nyingi sana ......hapa,mwaka 2010 alikuwa kampeni manager tena ....na ni kipindi hichi ambacho anahusishwa na kusafirisha yale meno ya tembo yaliyokuwa pale ivory house ..waliyokuwaa yakitaifishwa kwa majangili..Ambayo serikali waliomba kuyauza wakakataliwa....meno Yale sehemu kubwa ameyaachukua kinana kwa meli Yake na kuyapeleka china kuyauza kwa kigezo cha pesa kusaidia kampeni za KIkwete ..........ukiacha Hilo deal safari hii ya pili KIkwete naye alishituka kwa hiyo fuko la kampeni zake alilipunguza sana kwa kinana na akawapa mamlaka kubwa ya pesa wana familia .....hili Lilimuudhi sana kinana na kwa kumuonesha KIkwete hakuchakachua sana ....kura...hali iliyopelekea KIkwete kutaka kwenda na maji ....lengo lilikuwa kumuonesha nguvu zake......mambo yalivyokuwa kombo alijitokeza mwishonni na kuchakachua kura KIkwete "akashinda"...
Kwa kifupi Kinana ni jambazi kwa viwango vyote!!!!!!