Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,188
- 128,284
mkuu haya matukio ya kuvamiana naona yanazidi..hebu angalia hii ya leo huko dodoma asubuhi hiiBody guard wa mgombea wa ccm kata ya Themi ajulikanaye kwa jina la Antony Mrema a.k.a Blair Kichwa kubwa amepoteza uvumilivu wa kisiasa na kumvamia kada wa Chadema ajulikanaye kwa jina la Emanuel Paul a.k.a Rasta ambaye ni kaka yake wa damu.
Kizazaa hichi kimetokea hapa Themi maeneo ya Fire madukani ambapo mgombea wa udiwani wa kata ya Themi CCM mheshimiwa Victor akiwa anakatiza maeneo hayo akiwa na Body guard wake kwa jina 'Blair Kichwa Kubwa' walikuta kundi kubwa la vijana wa CHADEMA Themi wakipanga mikakati ya kuomba kura nyumba kwa nyumba, gafla Body guard huyo wa CCM alianza kutoa maneno ya matusi dhidi ya vijana wa CHADEMA na Mheshimiwa Victor ambaye ni mgombea wa udiwani kata ya themi kwa tiketi ya CCM aliondoka upesi na kuingia ktk ofisi ya ccm zilizokua karibu na kumuacha Body Guard wake akiendelea kuchana picha za chadema na ndipo kada maarufu wa CDM almaarufu kama Rasta aliingilia kati zoezi hilo na kumkataza green guard huyo 'Kichwa Kubwa' kuacha kuchana posters kwasababu majibu piyatapatikana tarehe 16 baada ya kupiga kura. Rasta alizidi kumjazibisha kada uyo wa ccm kwa kumwambia maneno ya haya yafuatayo
Nanukuu "Najua jana mkutano wenu wa Nchemba umebuma usituletee hasira kwenye matangazo ya CHADEMA na dozi yenu itajulikana kwenye box la kura"
Green Guard huyo alishindwa kuvumilia na kuamua kumkamata kada wa CDM na kumtandika makofi na kumvuta rasta zake kumalizia jazba zilizomzidi.
Watu wazima tuliamua kuingilia kati na kumsihi rasta aondoke eneo la tukio kwasababu ni dhahiri makada wote wa CCM hapa Themi wamepanic na wameamua kupiga watu hovyo.
My take:
CCM kata ya Themi, Tawi la Fire mnazidi kupoteza hata hizo kura 2 mlizokua mzipate.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mkuu haya matukio ya kuvamiana naona yanazidi..hebu angalia hii ya leo huko dodoma asubuhi hii
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana

CCM wote wanajiita waheshimiwa mkuu.mkuu eli nimekusoma mkuu, victor nae amekua mheshimiwa tayari??

hawa walikuwa watu tu na njaa zao za kimwili...kumbe choza ni mtu wa marathoni eeee.mkuu haya matukio ya kuvamiana naona yanazidi..hebu angalia hii ya leo huko dodoma asubuhi hii
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
mkuu haya matukio ya kuvamiana naona yanazidi..hebu angalia hii ya leo huko dodoma asubuhi hii
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
maskini ccm jamani.

Natamani kuachia ngazi kuwa mmoja wa waangalizi wa uchaguzi mdogo wa Arusha. Ni kama Usalama wangu utakuwa mashakani kila siku linaibuka jambo. Arusha kunani kule??????