CCM wamechanganyikiwa!


Wapi Nipe Ninawe
 
... Chadema ndo wapo kwenye gunia hawajitambui hata kidogo
Lakini hao ambao hawajitambui ndio wapo clever kwa kuchagua ratiba ya kampeni inayowachanganya wale wanaojitambua. Unazungumziaje hili la chama kulalamikia NEC kupanga njama katika ratiba, ni dalili gani?
 
Nadhanı sehemu kubwa ya wana UKAWA wana matatizo ya kiakili.Mabadiliko ni nini haswa?Je Ukawa slogan yao si wanadai mabadiliko nje ya CCM?Wanachokinadi CCM n mabadiliko ndani ya CCM.
 
Mwaka wa maajabu,hatimaye baada porojo kugonga mwamba ccm wameanza kuhubiri siasa ya mabadiliko. Tunasema hivi hakuna pa kutokea,mabadiliko ya kweli yataletwa na UKAWA.
 
Kweli hayo yako wazi wamechanganyikiwa....na ukabila wanaogopa kuutumia japo wanakusudia
 
Hivi unamjua katibu wa ukawa na unajua yuko wapi na anafanya nini. Ukijibu utajua hali yenu ikoje
aliko yeye wa tz wapenda haki hawapo naye! aliko yeye yupo na wasiopenda mabadiliko, wasioitakia mema nchi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…